Sponsorisé

Uganda: Ufalme wa Tooro wakabiliwa na mzozo wa uongozi

RFI Afrique· 11/09/2026 08:05

Manamfalme Patrick Mpuuga na Solomon Nyaika, Watoto wa Omusuuga Charles Karumasi, wamewatuhumu watu wenye ubinafsi kwa kumteka baba yao na kumtumia kutimiza malengo yao binafsi.

Partager Lire l'article original ↗