Sponsorisé
Juba haijapiga hatua katika vita dhidi ya vitendo vya rushwa: UN

Tume ya umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, imesema kuwa taifa hilo halijapiga hatua yoyote katika vita dhidi ya vitendo vya rushwa na kuleta utulivu wa kudumi, tume ikitoa onyo hili ikiwa imebaki…