Sponsorisé

Algeria yasitisha uhusiano wake na nchi ya Falme za Kiarabu

RFI Afrique· 11/09/2026 03:51

Algeria inasema, imeamua kusitisha ushirikiano wa kidiplomasia na nchi ya Falme za Kiarabu, kwa kile inachoeleza ni kwa sababu ya tabia za kichokozi na mshirika mbaya.

Partager Lire l'article original ↗