Sponsorisé
Mali: Wanajeshi kadhaa wauawa katika shambulio la JNIM kwenye kambi ya Dioura

Wanajihadi wa JNIM, wanaohusishwa na Al Qaeda, wameshambulia kambi ya jeshi huko Dioura, mkoa wa Mopti, katikati mwa Mali, mnamo Septemba 10, 2026. Kambi hii muhimu ya kijeshi ilikuwa tayari imeshambuliwa…